Morasha Furniture

Samani za Kipekee, Zilizotengenezwa kwa Ubora.

Tunatengeneza samani za kisasa na za kudumu kwa nyumba, ofisi na miradi maalum, kwa umakini wa hali ya juu.

TAFUTA MORASHA

Unatafuta samani gani?

Tafuta kwa jina la bidhaa, namba yake, kundi au aina ya samani.

Ufundi na UboraUmakini kwa kila kiungo, finishing na uimara wa samani.
Samani Maalum kwa Mahitaji YakoVipimo, rangi na material huchaguliwa kulingana na nafasi yako.
Ukaguzi wa UboraKila kazi hukaguliwa kabla ya kutoka workshop.
Delivery SalamaMpangilio wa makabidhiano uko wazi na wenye uangalizi.
Muonekano wa samani na ufundiMSUKUMO WA MUUNDO
THE MORASHA APPROACH

Samani zinazoendana na nafasi yako.

Tunachanganya muonekano wa kisasa na matumizi ya kila siku. Chagua muundo unaoupenda, kisha tuambie vipimo, rangi na umaliziaji unaohitaji.

Muundo unaochaguliwa na mteja Uangalifu katika umaliziaji
Omba Bei
Omba Bei

Una wazo la samani? Tuliunde pamoja.

Chagua samani, weka vipimo, rangi na maelekezo yako. Unaweza pia kutuma picha ya mfano. Timu yetu itapokea ombi lako moja kwa moja.

Omba Bei →